Serikali yashika
akaunti za DECI
Kutoka Habari LEO
Serikali inashikilia akaunti za Taasisi ya Development Entrepreneurship for Community Initiative (DECI) ikiwamo ya mmoja wa wakurugenzi.Hatua hiyo ya serikali ilitangazwa jana na Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo.Kwa mujibu wa Mkulo hatua hiyo itasaidia kulinda amana za wateja wa taasisi hiyo hadi hapo hatima yake itakapojulikana. ..bofya na endelea>>>>>
Kutoka Mwananchi
SIKU chache baada ya kusimamishwa shughuli za Taasisi ya Development Enterpreneurship Community Initiative (Deci), serikali imetangaza kufunga akaunti zote za wamiliki wake na kudhibiti maeneo yote ya shughuli za taasisi hiyo kwa lengo la kuwezesha kurudisha fedha kwa wananchi…bofya na endelea>>>>>
No comments:
Post a Comment