Tuesday, April 07, 2009

Ukosefu wa nidhamu au

ndio uhuru wa kusema

na kutoa mawazo?


Mzozo unaoendelea hivi sasa ndani ya familia ya mwanasiasa anayepewa heshima tele nchini, Balozi Isaac Sepetu dhidi ya ukoo wa raia ‘andagraundi’ Yusuf Jumbe sasa unatia kinyaa. Mgogoro uliopo kwenye familia hizo mbili, unatia kinyaa kutokana na hali ya kutoleana maneno machafu yaliyovuka mpaka kati ya pande hizo mbili zinazotishiana ‘kupotezana’...bofya na endelea>>>>>


No comments: