Friday, April 17, 2009

Vunja mbavu


Pamba inapatikana wapi

 

Mwanafunzi mmoja wa Shule ya Msingi Manzese alitoa mpya baada ya kuulizwa swali na mwalimu wake, na mazungumzo yao yalikuwa hivi:-

Mwalimu: Haya we Mwika naomba unitajie maeneo ambayo pamba zinatikana kwa wingi sana.

Denti: Swali rahisi sana, maeneo yanayopatikana pamba kwa wingi ni Big Brother, Tandale, Mchikichini pamoja na Ilala huko zinapatikana pamba za ukweli za kibitozi kwa bei nafuu sana

Mwalimu: Khaa!

Wanafunzi wengine walivunjika mbavu kwa kucheka...

Kutoka Global Publishers.

No comments: