Friday, April 17, 2009



Kikwete akerwa na mawaziri

wa nchi jirani wanaoikejeli

Tanzania.


Imeandikwa na Maulid Ahmed, 

Saudi Arabia; Tarehe: 17th April 2009 

Rais Jakaya Kikwete ameelezea kukerwa na vitendo vya baadhi ya mawaziri wa nchi za Afrika Mashariki kutumia lugha za matusi na kuikejeli Tanzania kutokana na msimamo wake wa kutokubali suala la ardhi na ajira liwe la Afrika Mashariki kwa sasa. Rais Kikwete alielezea masikitiko yake hayo juzi wakati akijibu maswali ya Watanzania waishio hapa wakati alipokutana nao katika Hoteli ya Riyadh Palace. ..bofya na endelea>>>>>

No comments: