Wanakunywa na kunya pesa,
lakini hawatosheki
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
Mpenzi Frank,
VIPI huko mpenzi? Leta stori maana naona mistori yangu ya hapa inachosha. Hawa wanene wanafikiri kwamba wao ndio stori kumbe hamna lolote.
No comments:
Post a Comment