Baada ya mwaka mmoja
toka kufunguliwa,
uwanja waanguka nchini
Malaysia!!!
Uwanja wa Sultan Mizan Zainal kwenye kitongoji cha
Gong Badak mjini Kuala Lumpur
Paa la kushoto la uwanja wa Sultan Mizan Zainal – Kuala Trengganu nchini Malaysia limeanguka jana. Bahati nzuri hakuna aliyejeruhiwa kwenye tukio hilo, licha ya kuwa kulikuwa na wafanyakazi 19 kazini paa lilipoanguka. Uwanja huo ni mpya kabisa. Ulifunguliwa mwaka jana.
1 comment:
Mambo yale yale kama Bongo vile!
Watu wamechukua mshiko wa uhakika, wakandarasi wamechotewa chao, wamejenga kwa vifaa hafifu. Matokeo yake ndiyo hayo!!!!
Post a Comment