Bing.com
Search ingine mpya toka
Microsoft
Bill na Melinda Gates
Wako Norway
Bill (mwasisi wa Microsoft) na Melinda Gates wako kwenye ziara nchini Norway. Leo Bill na Melinda walikula chakula cha mchana na waziri mkuu Jens Stoltenberg na mkewe Ingrid Schulerud nje ya Opera mjini Oslo. Wako Oslo kuzungumza na waziri mkuu juu ya mbinu na namna kupigana na umaskini na jinsi ya kutibu magonjwa duniani.
No comments:
Post a Comment