Tuesday, June 09, 2009

Google yaonya kuhusu

Chrome ya Mac na Linux




Alhamisi iliyopita lilitolewa toleo la Chrome kwa ajili ya Mac OS X na Linux, lakini Google inawaonya wote wanaotaka kufyonza Chrome kwa ajili ya Mac na Linux kuwa program yao hiyo haijatengezwa na kuwa kamili. Bado ina mapungufu mengi ambayo wanayafanyia kazi. Moja ya mapungufu ya Chrome ya Mac na Linux ni kuwa unaweza usione chochote kwenye You Tube, kuchapisha chochote kile au kubadili chochote kile kwenye kompyuta yako.

 Chanzo: Computer World USA na The Cromium Blog 

No comments: