Friday, June 19, 2009

Kwa nini bila karamu

hakuna ukarimu?



Unaendeleaje? Nashukuru sana umetulia tena baada ya kuwaka moto kama kifuu cha nazi. Ndicho ninachokupendea. Hata kama ni mwepesi wa hasira, ni mwepesi wa kuelewa pia. Mpaka tumeweza kuzungumzia harusi yetu pia. Nakuambia mpenzi, kwa kweli moyo wangu umekuwa unaimba kwa nguvu zote tangu tuongee kwa simu. Yaani baada ya muda si mrefu, nitaweza kuacha kazi hii ya kuwatumikia watu wasiokutambua hata kidogo na kuwa na wewe daima tukijenga maisha yetu pamoja. Laiti ingekuwa kesho mpenzi. ....bofya na endelea>>>>>


No comments: