Friday, June 19, 2009


Finilandiii!-I


Niwaambie kitu? Mliodhani nimefulia mlie tu! Nilikuwa mahali nimekwenda kununua akili, mtake msitake riziki ya mbwa ni mguuni mwake. Kwa mara ya kwanza kabisa tangu nizaliwe, juzi juzi tu hapa nilikwaa pipa. Siku zote kijiweni nikisikia simulizi za washikaji tu oh nilipanda pipa nikaenda sijui Msumbiji, wengine sijui Bondeni na wapi wapi huko. ....bofya na endelea>>>>>


No comments: