Wednesday, June 03, 2009

Mengi:

Nimeanza kuandamwa sasa


MWENYEKITI Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi, ameeleza kusononeshwa kwake na hatua ya baadhi ya viongozi wa serikali na taasisi zake, kumsakama tangu alipotaja majina ya watu aliodai kuwa ni mafisadi papa. Akizungumza wakati wa ibada iliyofanyika juzi katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri la Kisereny wilayani Hai, mkoani Kilimanjaro, Mengi alisema baada ya kutaja majina hayo, alianza kuandamwa na baadhi ya mawaziri, vyombo vya dola na taasisi za serikali…bofya na endelea>>>>> 


No comments: