Thursday, June 25, 2009

Mgeni aje mwenyeji akome,

akome na kukamuliwa




Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Mpenzi Frank,

Vipi hali ya wazee huko kijijini? Pole sana. Yaani bila hata kuangalia hali halisi walitaka kumnyang’anya mama shamba lake? Hawana adabu kabisa. Naona ulifanya jambo zuri sana kwenda kumkomboa mara moja. Ndiyo maana nakupenda sana mpenzi wangu hata kama itachelewesha harusi yetu. Wazee wetu kwanza! Bila wao kuwa na maisha, sisi tutakuwa na raha gani. Hongera sana na pole sana...bofya na soma zaidi>>>>>


No comments: