Sunday, June 07, 2009

Mizimu haiko kwetu tu.

Iko duniani kote


Angalia mzimu mtoto amenaswa kwenye kamera ya ulinzi kwenye chopping mall moja nchini Chile majuzi, 4. Juni 2009. Duka kubwa hilo likiwa limejaa watu kibao.

Mzimu huo ulikuwa ukionekana kama kivuli cha mtoto anayetembea kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine katika shopping mall moja nchini Chile ambayo ilikuwa bize na watu wengi wakikatiza katiza. Mzimu huo unaosemakana kuwa wa mtoto mmoja mkazi wa maeneo hayo ulikuwa na urefu wa futi mbili.Katika video ya ulinzi iliyoingia kwenye mitandao mbali mbali jana ilionyesha kivuli ambacho kinakisiwa kuwa ndio mzimu wenyewe ukielekea na kuingia kwenye chumba ambacho mwanaume mmoja alikuwa akitoka.Chini ni video ya mzimu huo, angalia kitu kama kivuli kikitembea kutoka kulia kuelekea kushoto baada ya mwanaume mmoja kuchomoza kwenye chumba kilichopo upande wa kushoto.






No comments: