Sunday, June 07, 2009


“Kama chama kingekuwa kinamuunga mkono Rais bila shaka yoyote ni lazima watuhumiwa wengine wenye nyadhifa na ambao bado wako katika chama kama viongozi wangesimamishwa kwanza kupisha uchunguzi na kama watabainika safi warejeshwe huu ndiyo utaratibu bora wa chama bora au serikali bora,” - Mohamed Raza, mfanyabiashara ambaye alikuwa mshauri wa Rais Mstahafu wa Zanzibar, Dk. Salmin Amour. (5. Juni 2009)

 

No comments: