Sunday, June 14, 2009

Mongella atimuliwa

urais PAP


Getrude Mongella

Na Aristariko Konga

BALOZI Getrude Mongella, Rais wa kwanza wa Bunge la Afrika (PAP) amelazimika kujiuzulu kutokana na tuhuma za matumizi mabaya ya fedha na ajira za upendeleo katika ofisi hiyo.

Hatua ya kulazimishwa kuachia ngazi imekuja baada ya mlolongo wa malalamiko kutoka kwa wabunge wa PAP kutokuridhika na mwenendo wa matumizi ya fedha na uendeshaji wa ofisi hizo.....bofya na endelea>>>>> 


1 comment:

Anonymous said...

watanzania tunatia aibu hebu ona hili jimama bila aibu limepeleka ufisadi hadi ugenini.Duuuu kazi kwelikweli.Alifikiri ni bunge la Tanzania hilo wabungewake wanaosinzia ameumbuka sasa.huyu atakua Mhaya