Tuesday, June 16, 2009

Morgan Tvangirai

ziarani Norway.


Waziri mkuu wa Zimbabwe, Morgan Tvangirai

Waziri Mkuu wa Zimbabwe, Morgan Tvangirai anaanza rasmi ziara ya kiserikali nchini Norway leo Jumanne 16.6.2009 hadi kesho Jumatano 17.6.2009. Bw. Tvangirai amealikwa rasmi na serikali ya Norway. Atakapokuwa nchini Norway, atafanya mazungumzo na waziri mkuu wa Norway, Jens Stoltenberg na waziri wa misaada, Erik Solheim.


No comments: