Tuesday, June 16, 2009

Mwanamke mmoja mkazi wa Kigogo Msimbazi Bondeni, jijini Dar es Salaam, Patricia Eneriko (50), ameuawa kwa kuchinjwa na mwanaume aliyedaiwa kuwa ni mumewe aliyejulikana kwa jina moja la Emmanuel....bofya na endelea>>>>>


No comments: