Wednesday, June 24, 2009

‘Moto wawaka’ bungeni



Mbunge, Bi. Beatrice Shelukindo wa CCM.


Imeandikwa na Halima Mlacha,

Dodoma

WABUNGE wamewatupia shutuma nzito baadhi ya viongozi wa serikali, hasa mawaziri na makatibu wakuu, kuwa wamekuwa wakitumia vibaya nafasi zao kwa ajili ya manufaa yao binafsi na hivyo kuondoa maana nzima ya dhana ya utawala bora. Akichangia mjadala wa hotuba ya makadirio ya matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha wa 2009/10 jana bungeni, Mbunge wa Kilindi, Beatrice Shelukindo (CCM), alisema hali sasa imekuwa kama ugonjwa ambao dawa yake iko kwa Rais Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda...bofya na endelea>>>>>


No comments: