Tuesday, June 30, 2009

Picha za mwisho za

Michael Jackson

akifanya mazoezi ya

konseti ya “This is It”









Picha za mwisho za Michael Jackson akifanya mazoezi ya kuimba na kudansi, kwa ajili ya konseti ”This Is It” iliyokuwa ifanyike London, mwezi Julai. Hapa alikuwa kwenye ukumbi wa Staples Center, 23 Juni. Picha na AP, Kevin Mazur, AEG/Getty Images.



No comments: