Wapenzi wa Manchester United

Kampuni ya bima ya Marekani, AON, ndiyo itakayodhamini Manchester United (ManU/The Red Devil) kwa miaka minne kuanzia msimu ujao wa ligi kuu ya England. AON wanachukua udhamini kutoka AIG (American International Group). Mkataba huo kati ya ManU na AON utakuwa ni asilimia 40 zaidi ilivyokuwa kati ya ManU na AIG na ni asilimia 17 zaidi ya mkataba kati ya Bayern Munich na kampuni ya simu ya T- Home
No comments:
Post a Comment