Saturday, July 11, 2009

Hapana, Obama

hakuangalia wo wo wo!

la Mayara Tavares

Angalia…



2 comments:

Anonymous said...

Japo inaonyesha kuwa hakuwa na nia ya kuangalia wo wo wo la huyo dada dada, lakini Obama alitupia mach kwa mbali. Sarkozy ndugu yangu huyo yake kaishika mkononi. Si mnaona jinsi alivyogeukia na kuangalia kwa makini?

Jamaa moto wa kuotea mbali!!!! Hakimpiti kitu inavyoonyesha.

Anonymous said...

OBAMA KAJIHESHIMU TU...ALIJUA KUNA KAMERA KILA MAHALI, KIDOGO ASHINDWE KUVUMILIA. SARKOZY ALISHINDWA. SI AMEZOEA?!