Sunday, July 05, 2009



TAHADHARI!

Western Union Moshi Branch!

MAJUZI NILITUMA HELA WESTER UNION YA MOSHI MJINI WAKAMKATA MAMA YANGU HELA..HIVI JAMANI TUTAFIKA WAPI??

WESTER UNION MOSHI NI WEZI SI MARA MOJA TUU KUKATA HELA HII NI MARA YA TATU,JAMANI TUNAOMBA WESTER UNION YA MOSHI MUACHE WIZI, HUU NI WIZI WA KIMACHOMACHO KABISA,SIE TUNABEBA MABOX HUKU KUSAIDIA NDUGU ZETU NYIE MNAKAA OFISINI NA KUKATA WATU HELA ZAO..

TUNAOMBA MJIREKEBISHE JAMANI WAPENI WATU HAKI YAO.

MDAU NORWAY

No comments: