Utamaduni wa Mtanzania
umebaki Kijiji cha
MAENDELEO ya sayansi na teknolojia yameudidimiza utamaduni wa binadamu kwa ujumla, ukiwemo wa Mtanzania. Kutokana na maendeleo hayo, nchi nyingi pamoja na watu wake, wamepoteza mifumo ya mila na desturi iliyozoeleka, badala yake wamezama katika kutumia runinga, kompyuta, intaneti, video na vitambulisho vingine.
Utamaduni wa kurithisha mila, desturi na utamaduni kutoka kizazi kimoja hadi kingine, umepotea, badala yake watoto wanaiga na kufuata wanayoona kwenye mitandao ya mawasiliano, kitendo ambacho kinaua utamaduni wa makabila mengine duniani. Makabila mengi nchini na mahali pengine duniani yalizoea kuwafundisha watoto kwa kusimulia hadithi, kuimba, kutoa mafumbo, kufundisha kula, kuvaa na mafunzo mengine ya ukoo. Sasa mafunzo hayo yameisha.....bofya na endelea kusoma>>>>>
No comments:
Post a Comment