Cheti kipya cha kuzaliwa

Waziri wa katiba na sheria, Mathias Chikate akikata utepe kuzindua cheti kipya cha kuzaliwa, jijini Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia ni katibu mkuu wa wizara hiyo, Oliver Mhaiki. Cheti hicho kimetengenezwa kwa utaalamu wa hali ya juu kuthibiti kanyaboya (kubatilishwa).
No comments:
Post a Comment