Thursday, October 22, 2009

Siku mafisadi 'walipomuenzi' Baba wa Taifa!




Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Mpenzi Frank,

Vipi mpenzi wangu, maisha yanaendeleaje huko? Lakini lazima nikuambie tena kwamba wasiwasi wako ni bure kabisa. Mimi ni wako mpenzi ingawa najua huu umbali unaweza kukupa mawazo kila wakati. Laiti ungejua kwamba moyo wangu, akili yangu, mwili wangu wote hadi ukucha wa mwisho ni wako usingekuwa na wasiwasi namna hii. Lakini tuache hayo, nikijitahidi kuamini kwamba ulikuwa unatania tu maana kama hutanii ukosefu wako wa imani kwangu waniumiza sana, tena sana...

.....bofya na endelea>>>>>


No comments: