Tuesday, October 06, 2009

Hotmail imeingiliwa;

Koda (passwords)

kibao zimeibiwa!

Wateja wa Microsoft wanaotumia barua pepe za hotmail wanashauriwa kubadili koda zao (passwords) baada ya hotmail kuwa hakedi (hacked). Blogu neowin.net ndio iliyokuwa ya kwanza kutoa taarifa za hotmail kuingiliwa na kuibiwa.


No comments: