Tuesday, October 06, 2009

Mitihani ya shule za sekondari yaanza






Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Azania, jijini Dar es Salaam; wakitoa maoni yao kuhusu mitihani ya shule za sekondari iliyoanza jana, Jumatatu Oktoba tano.

No comments: