Mume anapomuomba mkewe kufanya
ngono kinyume na maumbile….
Nimekutana na wanawake wengi sana ambao wapo ndoani wengi wakilalamika kwa tabia mbaya ya waume zao kutaka kufanya nao mapenzi kinyume na maumbile, wengine wakilalamika kuchoshwa na tabia ya waume zao kuwaingilia kinyume na maumbile, sometimes najiuliza kwa nini unakubali mwanaume akufanyie hivyo kisa ni mumeo? Ukikataa atakuacha? Anakushinikiza kiasi huwezi kukataa? Anakubaka? Kila mtu huwa na hadithi yake....na mimi si walaumu sana maana siwezi jua kama wakinipa kiatu chao nitaweza kukivaa.
MUHIMU.
Kesho katika leo tena kwenye hekaheka ya leo na Gea Habib, msikilize dada aliyeolewa kwa ndoa kabisa mkazi wa mkoa wa Tanga, akakaa ndoani miezi 6 akaondoka kwa mume baada ya mume kuanza kumuomba penzi kinyume na maumbile,dada anasema alimwambia mwanaume kama haridhiki na yeye kama mwanamke kuliko ampe kinyume na maumbile bora waachane, mdada alienda kuwaambia wazazi wake...wazazi wakamwambia kama ni hivyo bora muachane tu. Mwanaume hakutaka kutoa talaka lakini aliitoa kinguvu baada ya mshikemshike wa hapa na pale pls kesho usikose.
1 comment:
Laana kum - huko tunakokwenda kunatisha, kwani itakuwa ndoto watu kutenda mema
Post a Comment