Thursday, November 19, 2009


Aheri simba mmoja kuliko panya mia mbili



Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Mpenzi-est Frank,

Kama wakubwa wanaona njia bora ya kuendeleza lugha yetu ni kuichanganya hadi tuchanganyikiwe, kwa nini na sisi tusiige, hata kama wanasema iga ufe! Kama ung’eng’e unatosha kuvimbisha kichwa na tumbo, potelea mbali. So, I lava u my swit. I miss u. I want 2b wit u. Na usicheke wewe!! Nimeambiwa hata waheshimiwa wanaongea birokeni mara nyingine.

…..bofya na endelea>>>>>


No comments: