Kondoo mzee kuliko wote afariki!

Lucy the sheep
Kondoo mzee kuliko wote, Lucy amefariki dunia yamesemwa na mwenye kondoo huyo, Delrae Westgarth kwenye jimbo la Victoria nchini Australia. Lucy amefariki akiwa na miaka 23, miezi 6 na siku 28. Alivunja rekodi ya dunia ya kuishi kwingi alipofikisha miaka 21. Kawaida kondoo huishi kati ya miaka 10 na 12.
No comments:
Post a Comment