Wednesday, November 04, 2009

Tamiflu bila risiti kuanzia

Alhamisi 5. Novemba 2009





Kuanzia kesho Alhamisi, 5. Novemba, dawa za mafua ya nguruwe, Tamiflu zitaanza kuuzwa bila risiti toka kwa daktari. Hii ni kwa muda tu hadi katikati ya mwaka 2010. Haya yamesemwa na waziri wa afya, Anne-Grete Stroem Erichsen.

Bei ya Tamilfu ni kroner 50,- ukiwa na risiti ya daktari na kroner 70,- bila risiti ya daktari.

Chanzo cha habari: http://www.aftenposten.no/helse/article3355109.ece


No comments: