Tumesahaulika, anasema Mzee Pwagu
Mzee Pwagu
Imeandikwa na Na Rashid Mtagaluka; Tarehe: 13th November 2009
Walio wengi huthubutu kudhani hivyo kutokana na ukweli kwamba, licha ya kuwa ni miongoni mwa wasanii mahiri wa michezo redioni, lakini pia alikuwa hodari katika kipindi maarufu kilichofahamika kwa jina la Wakati wa Pwagu na Pwaguzi.
Kipindi hicho kilichokuwa kikirushwa hewani kila Jumamosi kuanzia saa 11:45 hadi 12;00 jioni na Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD) tangu mwaka 1966, kiliweza kukusanya rika zote za wasikilizaji.
No comments:
Post a Comment