Berlusconi amsamehe aliyemshambulia
Waziri mkuu wa Italia, Silvio Berlusconi amemsamehe jamaa mmoja punguani aliyemshambulia na kumwumiza pua na taya tarehe 13 Desemba. Lakini amesema kuwa asiachiwe mapema toka lupango kwa kuhofia kuwa huyo jamaa anaweza kudhuriwa maisha yake.
No comments:
Post a Comment