Julius Nyerere International
Airport hakina choo
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEihtKvZ9WybDu10-3FQ_5TZUifl0Z5wfBBFXVc5voiH4rJ6afI3ZPVCaHHR5ygKdcM5Yz7YpUYPDxiGeGFzGB69Ji_2SUVTvHnCzEcHF2E5vKuIUKxIRBG2wR29uoSVB61j4dupKD8xJYVF/s400/Julius+Nyerere+International+Airport.jpg)
Imenishangaza sanaa, yaani kile chumba cha kuchukulia mizigo kwa abiria wa ndani ya TZ pale uwanja wetu wa ndege wa KIMATAIFA HAKUNA CHOO .....!!!!!!!!!!!!!! Yaani ukibanwa na haja pale lazima uvuke sehemu ya kucheck passport kwa abiria watokao nje ya nchi. Kimbembe ni wakati unatoka kujisaidia na huna passport wala document yoyote ya kuwepo eneo lile.........
- Mdau Ngalikihinja -
No comments:
Post a Comment