Thursday, December 10, 2009

Mafahali ya tuzo ya amani ya Nobel




Mafahali ya tuzi ya amani ya Nobel yanaendelea kwenye halmashauri ya mji wa Oslo (Oslo Rådhus). Hapa mwenyekiti wa kamati ya tuzo ya amani ya Nobel, Thorbjørn Jagland akiwa amekaa na Rais Obama, huku mafahali yakiendelea.

No comments: