Obama yuko kwenye kasri
Obama na Michelle wako kwenye kasri ya Mfalme Harald wa tano. Obama na Michelle wanafanya mazungumzo na Mfalme Harald na Malkia Sonja (inatamkwa Sonya). Kwenye saa 7 adhuhuri, Obama, Michelle, Mfalme Harald na Malkia Sonya watakuwa Halmashauri ya mji wa Oslo, kwenye mafahali ya Obama kupokea tuzo ya amani ya Nobel.
No comments:
Post a Comment