Thursday, December 10, 2009

Msafara wa Obama

kuelekea taasisi ya Nobel



Magari ya msafara wa Obama ukipita ubalozi wa Marekani mtaa wa Drammen mjini Oslo, kuelekea kwenye taasisi wa Nobel. Aliingia kwenye taasisi kwenye saa 3.30 za asubuhi na kutia saini kwenye kitabu cha itifaki.

No comments: