Obama atua Oslo
Rais Obama ametua Gardemoen saa 2.13 za asubuhi saa za Ulaya ya kati. Obama ameandamana na mkewe, Michelle. Hakujwahi kuwa na ulinzi wa namna hii hapa Norway. Sehemu za kati kati ya Oslo, maeneo yanayozunguka hoteli ya Grand yamewekwa wigo wa vyuma na polisi na askari kanzu wa Kimarekani na wa Kinorwejiani wametanda mjini Oslo.
No comments:
Post a Comment