Thursday, December 10, 2009

Oslo - tuzo ya amani ya Nobel

Halaiki ya watu yakusanyika

nje ya hoteli ya Grand







Mamia ya wakazi wa Oslo na watu kutoka sehemu zingine wamekusanyika nje ya hoteli ya Grand wakimsubiri Rais Obama kutoka nje balkoni kuwasalimia. Haijawi kukusanyika halaiki ya watu kiasi hiki kwenye sherehe za namna hii toka tuzo ya amani ya Nobel ianze kutolewa.

Saa 1 hadi saa 1 na dakika 2 usiku (19:02 CET) Rais Obama na mkewe Michelle wametoka nje ya balkoni ya Grand na kupungia watu mikono!!!!

No comments: