Ulinzi umeongezwa Oslo Gardemoen Airport
Ndani ya uwanja wa Gardemoen
Kufuatilia jaribio la kulipua ndege juzi Jumamosi nchini Marekani, ulinzi umeongezwa kwenye uwanja wa ndege wa Gardemoen. Ulinzi huo unakuwa mkali haswa kwa wale wanaosafiri kwenda Marekani. Wasafiri wanatakiwa kufika mapema uwanjani na kuwa wavumulivu na jinsi watakavyokuwa wanapekuliwa.
No comments:
Post a Comment