Davos, Uswiss - Rais Jacob Zuma akihojiwa na Fareed Zakaria: ametetea kuwa na wake wengi kwa sababu ni sheria ya Afrika Kusini na ni utamaduni wa Kizulu
Sizakele Khumalo (kulia), Nompumelo Ntuli (kushoto) na Thobeka Mabhija (akiwa na Zuma) walikuwa gumzo kwenye mkutano wa uchumi, Davos, Uswisi.
1 comment:
Zuma is freak, plain and simple!!!
Post a Comment