Monday, February 01, 2010

Amini usiamini!




Picha hizi zilipigwa na Michel Denis-Huot, kwenye mbuga za wanyama Masai-Mara, Oktoba mwaka jana. Duma watatu walimwinda swala, lakini badala ya kumla, wakacheza naye na baadaye kumwacha!

No comments: