Monday, February 22, 2010

Watoto wa Babu Seya wakinena








Nguza Mbangu ‘Mashine’ na Francis Nguza ‘Chichi’ ambao ni watoto wa galacha wa muziki wa dansi nchini, Nguza Viking ‘Babu Seya’, hatimaye wamepasua jipu kuhusu maisha yao kwa kung’ata ya zamani, sasa na yajayo... Gazeti ‘the biggest IQ’ la Ijumaa Wikienda linakuwa la kwanza kufanya ‘interview’ ya kina na watoto hao wa Babu Seya ambao walilitembelea kwenye ofisi zake, zilizopo Bamaga, Mwenge, Dar es Salaam, juzi (Jumamosi).

Katika mahojiano hayo, watoto hao walieleza hisia zao kuhusu uwepo wa baba yao na ndugu yao, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ gerezani, wakiendelea kutumikia kifungo cha maisha jela, hasa baada ya wao kuachiwa.

Kutoka Global Publishers Limited


No comments: