Tuesday, February 16, 2010


Program za dezo

Programu nyingi zinagharimu sana, lakini zipo nyingi ambazo ni za bure. Tatizo za hizi za bure ni kuwa huduma zake mara nyingi ni finyu na kila mara unakumbushwa kununua ”full version”. Angalia kwanza kiwango cha programu kabla hujafyonza (download). Nyingi za hizi programu ziko kwenye kinachoitwa chanzo wazi (open source)

Zifuatazo ni baadhi ya programu za dezo!


No comments: