Monday, February 22, 2010

Theluji inaanguka. 

Halibaridi -19oC


Picha inaonyesha jinsi theluji ilivyotandaa leo asubuhi.
Hakuna dalili za jua kutoka.


Theluji inaanguka. Kuna baridi. Leo asubuhi kumekuwa na matatizo ya usafiri wa treni za mbali na za mjini (Trams). Hii imesababishwa na matatizo kwenye mashine za ishara kwenye reli. Kukiwa na baridi kali na theluji nyingi ikianguka hizo ishara za kuendeshea treni zinapata matatizo, matokeo yake ni uchelewashaji wa ratiba za treni. Wasafiri wanaombwa kuwa wastahamilivu.

No comments: