Monday, February 08, 2010

Wageni laki tano kwa kipindi cha miaka 10

Watu 510.748 wamehamia Norway tokea 2000 hadi 2009 na kupata vibali vya kuishi na kufanya kazi. Idadi hiyo haiwajumlishi  Waswidi, Wadenish, Wafinnish na Waislandi.

Takwimu hizo zimetolewa na Idara ya Takwimu ya Norway; Statistisk Sentralbyrå (SSB)

Kijumla kuhusu SSB (English)

No comments: