Madanguro ya bure:
Ilikuwa danganya toto
Frank Horn hardtvedt. Picha na Nikita Solenov.
Frank Horn Hartvedt wa kikundi kinachojiitwa “Fripolitisk Bevegelse” chenye makao yake makuu Bergen ameliambia gazeti la Bergens Tidende (BT) kuwa aliyosema tarehe 11.3.2010 kuwa atafungua madanguro ya kutoa huduma za ngono bure, ilikuwa ni danganya toto. Amesema kuwa lengo la kusema vile, lilikuwa ni kuamsha hamasa za ajenda zao, ikiwemo la kupinga sheria ya kuzuia wateja kununua huduma za ngono.
Chanzo: Bergens Tidende (BT)

No comments:
Post a Comment