Saturday, March 13, 2010

Oslo, Norway

50 Cent in da house

50 Cent jana mjini Oslo.

Rappa 50 Cent, Curtis Jackson (34) amekuwa kwenye ziara ya konseti fupi hapa Norway. Konseti ya kwanza ilikuwa Bergen juzi tarehe 11 Machi kwenye ukumbi wa Norwegian School of Economics and Business Administration na jana Ijumaa alifanya konseti hapa Oslo. 5o Cent amefuatana na Lyod Banks na kundi la G-Unit.


Mara ya kwanza alikuja Norway mwaka 2003 na mara ya pili 2007 kwenye Quart Festival na mara ya tatu 2008 alikuwa Tromsø (Tromsoe)

No comments: