Wednesday, March 31, 2010

Mawakala wa kazi na  scholarships Skandinavia?!



Hivi karibuni kuna jamaa nchini Finland ameweka tangazo kwenye blogu ya ”ankal” Issa Michuzi kuwa anaweza kumtafutia mtu scholarship au kazi nchi za Nordic. Huyo jamaa anajiita Gloria Boiko, na barua pepe yake ni:


Imejitokeza kuwa kuwa jamaa anawajibu wote wanaowasiliana naye kuwa wamepata scholarship au kazi lakini kwa malipo ya mbele ya Dala 350,-


Chonde! Chonde! Huyo jamaa anaonekana kuwa ni tapeli wa ”Kinaijeria”

Toka lini huku Nordic kukawa na mawakala wa namna hii?

Jihadharini!

Angalia hii kwa tahadhari:

No comments: