Friday, March 26, 2010

Norway

Likizo ya Pasaka imeanza leo


Shule zote zimefungwa kuanzia leo Ijumaa 26.03.2010 hadi Jumanne 6 Aprili 2010, kwa likizo ya Pasaka. Watu wengi hapa Norway nao wanachukua likizo ya Pasaka kwenda kwenda milimani kwenye theluji/barafu, maana mijini imeshapotea. Wengi wanasafiri kwenda nje ya nje.

Jumamosi 27.Machi 2010 kwenye saa 8 za usiku wa manane kuamkia

Jumapili 28. Machi 2010 tunabadili saa za majira kuingia majira ya Kiangazi/Joto. Tuna Tunasogeza mbele saa 1. Kutakuwa na tofauti ya saa moja na saa za Afrika Mashariki, kuliko ilivyo leo, yaani masaa mawili. Pia hapa Norway ni “palmesøndag” au “Palm Sunday”

Aprili Mosi hapa Norway ni “Skjærtorsdag” au “Maundy Thursday”. Msisahau pia kuwa ni siku ya wajinga duniani.

2 Aprili 2010  Ijumaa Kuu

4 Aprili 2010 Jumapili ya Pasaka

5 Aprili 2010 Jumatatu ya Pasaka.

No comments: